Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akimkabidhi zawadi Kiongozi wa Ujumbe wa Madaktari wa Kichina Dr.Zhao Xiaojun wakati wa kuagana na Ujumbe wa Madaktari hao wa Kichina 32 waliomaliza muda wao wakutoa huduma mbali mbali katika Hospitali za Mnazi Mmoja na Abdalla Mzee Pemba,hafla ya kuagana ilifanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 11Sept 2023.
Baadhi ya Madaktari wa kichina na Mkalimani wakifuatilia kwa makini sherehe ya Kuagwa kwao waliofika Ikulu Jijini Zanzibar leo Kuagana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani).[Picha na Ikulu] 11Sept 2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimsikiliza Kiongozi wa Madaktari wa Kichina Dr.Zhao Xiaojun (kulia aliyesimama) wakati akitoa shukurani zake leo kwa Ushirikiano walioupata katika huduma walizozitoa katika Hospitali za Zanzibar,wakati hafla ya kuagana wa lipofika Ikulu Jijini Zanzibar . [Picha na Ikulu] 11Sept 2023.
Viongozi wa Ujumbe wa Madaktari wa Kichina wamsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati walipofika kumuaga Rais leo Ikulu Jijini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 11Sept 2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa kuagana na Ujumbe wa Madaktari wa Kichina 32 waliuomaliza muda ambao wakitoa huduma katika Hospitali za Mnazi Mmoja na Abdalla Mzee Pemba,mazungumzo yalifanyika leo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 11Sept 2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa kuagana na Ujumbe wa Madaktari wa Kichina (hawapo pichani) 32 waliomaliza muda ambao wakitoa huduma katika Hospitali za Mnazi Mmoja na Abdalla Mzee Pemba,mazungumzo yalifanyika leo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 11Sept 2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akimkabidhi zawadi Kiongozi wa Ujumbe wa Madaktari wa Kichina Dr.Zhao Xiaojun wakati wa kuagana na Ujumbe wa Madaktari hao wa Kichina 32 waliomaliza muda wao wakutoa huduma mbali mbali katika Hospitali za Mnazi Mmoja na Abdalla Mzee Pemba,hafla ya kuagana ilifanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 11Sept 2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akipokea zawadi kutoka kwa Kiongozi wa Ujumbe wa Madaktari wa Kichina Dr.Zhao Xiaojun wakati wa kuagana na Ujumbe hguo wa Madaktari 32 waliomaliza muda wa kutoa huduma mbali mbali katika Hospitali za Mnazi Mmoja na Abdalla Mzee Pemba,katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 11Sept 2023.