Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete wakati wa Mkutano Mkubwa wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF) unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC)tarehe 07 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Goodluck Jonathan wakati wa Mkutano Mkubwa wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF) unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC)tarehe 07 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali waliohudhuria Mkutano Mkubwa wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF) katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC)tarehe 07 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama na Rais wa Kenya Mhe. William Ruto, Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye, Rais wa Senegal Mhe. Macky Sall, Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn pamoja na viongozi mbalimbali wakati wa Wimbo wa Taifa wa Tanzania, Afrika Mashariki na ule wa Umoja wa Afrika ukiimbwa wakati wa Mkutano mkubwa wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF) uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) tarehe 07 Septemba, 2023.
RAIS DKT. SAMIA AKISALIMIANA NA VIONGOZI MBALIMBALI KATIKA MKUTANO WA MIFUMO YA CHAKULA AFRIKA AGRF
