Msululu wa magari ya mizigo ya aina ya *FAW ya kampuni ya Makundi Transport and General Supplies ( MTGS) zaidi ya 50* ukiwa katika barabara ya Morogoro eneo la Kibaha kwa ajili ya kuanza rasmi shughuli za usafirishaji nje ya nchi na mikoa jirani Afrika Mashiriki na SADC, hii imetokana na Mazingiria mazuri ya serikali ya awamu ya sita kwa Wafanyabiashara.
Magari hayo yametengenezwa nchini katika kiwanda cha Wazelendo kilichopo Kibaha mkoa wa Pwani.
Watanzania nchi imefunguka kwenye sekta ya usafirishaji.
*Tanzania ya Uwekezaji.*