Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) –Bara, Ndg. Anamringi Macha akielezea jambo mbele ya ujumbe kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa jambo wakati wa zoezi la uhakiki wa chama hicho uliofanyika katika Ofisi za Makao Makuu ya chama hicho leo jijini Dodoma. Kutoka kushoto ni Mkuu wa Sehemu ya Ruzuku na Misaada Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Edmund Mugasha, Mkuu wa Kitengo cha Sheria, Muhidin Mapeyo na Katibu wa NEC – Uchumi na Fedha, Ndg. Frank Hawassi.
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) –Bara, Ndg. Anamringi Macha akiteta jambo na Mkuu wa Kitengo cha Sheria Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Muhidin Mapeyo ambaye pia ndiye kiongozi wa timu ya wataalamu kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa wakati wa zoezi la uhakiki wa chama hicho uliofanyika katika Ofisi za Makao Makuu ya chama hicho leo jijini Dodoma.
Mkuu wa Sehemu ya Ruzuku na Misaada Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Edmund Mugasha (kushoto) akifafanua jambo mbele ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wakati wa zoezi la uhakiki wa vyama vya siasa leo jijini Dodoma. Zoezi la uhakiki wa vyama vya siasa ambalo limeitimishwa leo ni utekelezaji wa majukumu ya Msajili kufuatilia uhai wa vyama vya siasa katika kutekeleza sherai ya vyama vya siasa pamoja na sheria ya gharama za uchaguzi.
Katibu wa NEC – Uchumi na Fedha wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Frank Hawassi akifafanua jambo wakati wa zoezi la uhakiki wa vyama vya siasa lililofanyika katika Ofisi za Makao Makuu ya chama hicho leo jijini Dodoma. Zoezi la uhakiki wa vyama vya siasa ambalo limeitimishwa leo ni utekelezaji wa majukumu ya Msajili kufuatilia uhai wa vyama vya siasa katika kutekeleza sherai ya vyama vya siasa pamoja na sheria ya gharama za uchaguzi. Kutoka kushoto ni Mkuu wa Sehemu ya Ruzuku na Misaada Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Edmund Mugasha, Mkuu wa Kitengo cha Sheria Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Muhidin Mapeyo na Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) –Bara, Ndg. Anamringi Macha.
Katibu wa Sektretarieti ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Salum Khatib Reja akifafanua jambo wakati wa zoezi la uhakiki wa vyama vya siasa lililofanyika katika Ofisi za Makao Makuu ya chama hicho leo jijini Dodoma. Zoezi la uhakiki wa vyama vya siasa ambalo limeitimishwa leo ni utekelezaji wa majukumu ya Msajili kufuatilia uhai wa vyama vya siasa katika kutekeleza sherai ya vyama vya siasa pamoja na sheria ya gharama za uchaguzi. Kutoka kushoto ni Mkuu wa Sehemu ya Ruzuku na Misaada Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Edmund Mugasha, Mkuu wa Kitengo cha Sheria Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Muhidin Mapeyo, Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) –Bara, Ndg. Anamringi Macha na Katibu wa NEC – Uchumi na Fedha wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Frank Hawassi.
Mhasibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Thobias Abwarro akionyesha taarifa za mali za chama mbele ya ujumbe kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa wakati wa zoezi la uhakiki wa vyama vya siasa leo jijini Dodoma. Zoezi la uhakiki wa vyama vya siasa ambalo limeitimishwa leo ni utekelezaji wa majukumu ya Msajili kufuatilia uhai wa vyama vya siasa katika kutekeleza sherai ya vyama vya siasa pamoja na sheria ya gharama za uchaguzi.
Timu ya wataalam kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa wakiongozwa na Muhidin Mapeyo (wapili kutoka kushoto waliokaa) wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Makao Makuu wakiongozwa na Naibu Katibu Mkuu Bara, Ndg. Anamringi Macha mara baada ya kumaliza zoezi la uhakiki leo jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa).