RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na mgeni wao Msanii Maarufu wa Sanaa ya Filamu kutoka Nchini China Mr.Jin Dong, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu 10-8-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Msanii Maarufu wa Sanaa ya Filamu kutoka Nchini China Mr. Jin Dong, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 10-8-2023 na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akizungumza na mgeni wake Msanii Maarufu wa Sanaa ya Filamu kutoka Nchini China Mr. Jin Dong, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 10-8-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar mgeni wake Msanii Maarufu wa Sanaa ya Filamu kutoka Nchini China Mr.Jin Dong, baada ya kumaliza mazungumzo yake yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 10-8-2023, na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi.(Picha na Ikulu)
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Sanduku la Kasha Msanii Maarufu wa Sanaa ya Filamu kutoka Nchini China Mr.Jin Dong, baada ya kumaliza mazungumzo yake na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-8-2023.(Picha na Ikulu)
NO.1774////RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakiagana na mgeni wao Msanii Maarufu wa Sanaa ya Filamu kutoka Nchini China.Mr.Jin Dong, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-8-2023.(Picha na Ikulu) .