Kaimu Meneja Masoko na Mawasiliano kwa Umma wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania TASAC Mariam Mwayela akiwapa maelezo wanafunzi kutoka Shule ya sekondari ya Mufindi walipotembelea katika banda la shirika hilo kwenye maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nanenane yanayofanyika kwenye viwanja vya John Mwakangale mkoani Mbeya.
Kaimu Meneja Masoko na Mawasiliano kwa Umma wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania TASAC Mariam Mwayela akiwapa maelezo wanafunzi kutoka Shule ya sekondari ya Mufindi na kuwaonesha kifaa maalum cha kujiokolea unapopatwa na dharura kwenye chombo cha majini wakati wanafunzi hao walipotembelea katika banda la shirika hilo kwenye maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nanenane yanayofanyika kwenye viwanja vya John Mwakangale mkoani Mbeya.
Wananchi mbalimbali wakipata elimu wakati walipotembelea katika banda la shirika hilo kwenye maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nanenane yanayofanyika kwenye viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya.
Kaimu Meneja Masoko na Mawasiliano kwa Umma wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania TASAC Mariam Mwayela akimpa zawadi ya kofia na kalamu mwananfunzi Miriam Tweve wa shule ya sekondari ya Mufindi mara baada ya kujibu maswali vizuri.
Kaimu Meneja Masoko na Mawasiliano kwa Umma wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania TASAC Mariam Mwayela akiwapa zawadi ya kofia wanafunzi wa shule ya sekondari ya Mufindi walipotembelea katika banda la shirika hilo katika maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nanenane yanayofanyika kwenye viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya.
Wafanyakazi wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania TASAC wakiwa katika picha ya pamoja na wananfunzi wa shule ya sekondari ya Mufindi mara baada ya wanafunzi hao kutembelea katika banda la shirika hilo kwenye maonesho ya Nanenane jijini Mbeya.