RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Othman Ame Chum, alipowasili katika viwanja vya Masjid Mabuluu Mfereji wa Wima Ng’ambo Station Wilaya ya Mjini Unguja kuhudhuria Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo leo 4-8-2023.(Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akzungumza na kuwasalimia Wananchi, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa, iliyofanyika katika Masjid Mabuluu Mfereji wa Wima Ng’ambo Station Wilaya ya Mjini Unguja leo 4-8-2023.(Picha na Ikulu)
WAUMINI wa Kiislamu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na kuwasalimia baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Mabuluu Mfereji wa Wima Ng’ambo Station Wilaya ya Mjini Unguja leo 4-8-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Mabuluu Mfereji wa Wima Ng’ambo Station Wilaya ya Mjini Unguja leo 4-8-2023 na (kushoto kwa Rais) Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Othman Ame Chum.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Kwahani Unguja Mhe.Ahmada Yahya Abdulwakil, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Mabuluu Mfereji wa Wima Ng’ambo Station Wilaya ya Mjini Unguja leo 4-8-2023.(Picha na Ikulu)