Mkurugenzi Msaidizi sehemu ya Usafiri wa Anga na Hali ya Hewa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Uchukuzi), Biseko Chiganga akitia saini Mikataba makubaliano ya Usafiri wa Anga baina ya Tanzania na Urusi. Anayeshuhudia kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Sheria Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA),Maria Makalla Memba. Makubaliano hayo yamefikiwa nchini Urusi mwezi Julai 2023.
Timu ya wataalam kutoka Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi pamoja na Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) katika picha ya pamoja mara baada ya kukamilisha zoezi la kusaini Mikataba makubaliano ya Usafiri wa Anga baina ya Tanzania na Urusi.