Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Kawe Askofu Dkt. Josephat Gwajima wakati apowasili kwenye viwanja vya Tanganyika Pakers Kawe kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa mkubwa wa hadhara mkoani Dar es Salaam leo Julai 29,2023.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Mbagala Mh. Abdallah Chaurembo wakati apowasili kwenye viwanja vya Tanganyika Pakers Kawe kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa mkubwa wa hadhara mkoani Dar es Salaam leo Julai 29,2023.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Kimondoni Bw. Abbas Tarimba wakati apowasili kwenye viwanja vya Tanganyika Pakers Kawe kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa mkubwa wa hadhara mkoani Dar es Salaam leo Julai 29,2023.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akisaini kitabu cha wageni wakati apowasili kwenye viwanja vya Tanganyika Pakers Kawe kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa mkubwa wa hadhara mkoani Dar es Salaam leo Julai 29,2023.
Viongozi mbalimbali wakiwa katika mkutano huo unaofanyika kwenye viwanja vya Tanganyika Pakers Kawe jijini Dar es salaam leo.
Wananchi mbalimbali wakiwa wamebeba mabango yenye jumbe mbalimbali kuhusu kazi ambazo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anazifanya katika kutekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM.
Picha mbalimbali zikionesha wananchi wakiwa wamefurika kwenye mkutano huo wa hadhara unaofanyika kwenye viwanja vya Tanganyika Pakers Kawe jijini Dar es Salaam.