Mgeni rasmi Kaimu Katibu Mkuu wa Bodi ya Filamu Tanzania Dr. Kiagho Kilonzo (katikati) akisalimiana na Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Bw. Tirso Dos Santos mara baada ya kuwasili kwenye warsha ya mafunzo ya kuwajengea uwezo wadau mbalimbali wa sekta ya Ubinifu, Utamaduni na Sanaa katika uandaaji wa taarifa ya kitaifa ya makubaliano ya UNESCO ya mwaka 2005 ya Ulinzi na Ukuzaji wa Vielelezo vya Utamaduni Anuwai iliyoratibiwa na UNESCO na kufadhiliwa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Sweden (SIDA) iliyofanyika kwenye Hotel ya Courtyard Protea jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Balozi wa Sweden nchini Mh. Andres Sjoberg.
Afisa Mtendaji Mkuu COSOTA ambaye pia ni Mtaalamu wa Taifa wa mradi unaolenga kutekeleza makubaliano ya UNESCO ya mwaka 2005 ya Ulinzi na Ukuzaji wa Vielelezo vya Tamaduni Anuwai, Bi. Doreen Sinare akitambulisha meza kuu (hawapo hewani) wakati wa warsha ya mafunzo ya kuwajengea uwezo wadau mbalimbali wa sekta ya Ubinifu, Utamaduni na Sanaa katika uandaaji wa taarifa ya kitaifa ya makubaliano ya UNESCO ya mwaka 2005 ya Ulinzi na Ukuzaji wa Vielelezo vya Utamaduni Anuwai iliyoratibiwa na UNESCO na kufadhiliwa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Sweden (SIDA) iliyofanyika kwenye Hotel ya Courtyard Protea jijini Dar es Salaam.
Mgeni rasmi Kaimu Katibu Mkuu wa Bodi ya Filamu Tanzania Dr. Kiagho Kilonzo akitoa hotuba kwa niaba ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe wakati wa warsha ya mafunzo ya kuwajengea uwezo wadau mbalimbali wa sekta ya Ubinifu, Utamaduni na Sanaa katika uandaaji wa taarifa ya kitaifa ya makubaliano ya UNESCO ya mwaka 2005 ya Ulinzi na Ukuzaji wa Vielelezo vya Utamaduni Anuwai iliyoratibiwa na UNESCO na kufadhiliwa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Sweden (SIDA) iliyofanyika kwenye Hotel ya Courtyard Protea jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Bw. Tirso Dos Santos akitoa salamu za UNESCO wakati wa warsha ya mafunzo ya kuwajengea uwezo wadau mbalimbali wa sekta ya Ubinifu, Utamaduni na Sanaa katika uandaaji wa taarifa ya kitaifa ya makubaliano ya UNESCO ya mwaka 2005 ya Ulinzi na Ukuzaji wa Vielelezo vya Utamaduni Anuwai iliyoratibiwa na UNESCO na kufadhiliwa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Sweden (SIDA) iliyofanyika kwenye Hotel ya Courtyard Protea jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Sweden nchini Mh. Andres Sjoberg akitoa salamu za SIDA wakati wa warsha ya mafunzo ya kuwajengea uwezo wadau mbalimbali wa sekta ya Ubinifu, Utamaduni na Sanaa katika uandaaji wa taarifa ya kitaifa ya makubaliano ya UNESCO ya mwaka 2005 ya Ulinzi na Ukuzaji wa Vielelezo vya Utamaduni Anuwai iliyoratibiwa na UNESCO na kufadhiliwa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Sweden (SIDA) iliyofanyika kwenye Hotel ya Courtyard Protea jijini Dar es Salaam.
Mgeni rasmi Kaimu Katibu Mkuu wa Bodi ya Filamu Tanzania Dr. Kiagho Kilonzo (katikati) akimkabidhi Afisa Mtendaji Mkuu COSOTA na Mtaalamu wa Taifa wa mradi unaolenga kutekeleza makubaliano ya UNESCO ya mwaka 2005 ya Ulinzi na Ukuzaji wa Vielelezo vya Tamaduni Anuwai, Bi. Doreen Sinare cheti cha ushiriki wa warsha ya mafunzo ya kuwajengea uwezo wadau mbalimbali wa sekta ya Ubinifu, Utamaduni na Sanaa katika uandaaji wa taarifa ya kitaifa ya makubaliano ya UNESCO ya mwaka 2005 ya Ulinzi na Ukuzaji wa Vielelezo vya Utamaduni Anuwai iliyoratibiwa na UNESCO na kufadhiliwa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Sweden (SIDA) iliyofanyika kwenye Hotel ya Courtyard Protea jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia tukio hilo ni Balozi wa Sweden nchini Mh. Andres Sjoberg (kushoto) pamoja na Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Bw. Tirso Dos Santos (kulia).
Mgeni rasmi Kaimu Katibu Mkuu wa Bodi ya Filamu Tanzania Dr. Kiagho Kilonzo (katikati) akimkabidhi Bw. Maximilian Chami kutoka Tume ya Taifa ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (NATCOM-Unesco) cheti cha ushiriki wa warsha ya mafunzo ya kuwajengea uwezo wadau mbalimbali wa sekta ya Ubinifu, Utamaduni na Sanaa katika uandaaji wa taarifa ya kitaifa ya makubaliano ya UNESCO ya mwaka 2005 ya Ulinzi na Ukuzaji wa Vielelezo vya Utamaduni Anuwai iliyoratibiwa na UNESCO kwa ufadhiliwa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Sweden (SIDA) iliyofanyika kwenye Hotel ya Courtyard Protea jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia tukio hilo ni Balozi wa Sweden nchini Mh. Andres Sjoberg (kushoto) pamoja na Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Bw. Tirso Dos Santos (kulia).
Mgeni rasmi Kaimu Katibu Mkuu wa Bodi ya Filamu Tanzania Dr. Kiagho Kilonzo (katikati) akimkabidhi Meneja wa Programu wa Taasisi ya Culture and Development East Africa (CDEA), Bw. Mandolin Kahindi cheti cha ushiriki wa warsha ya mafunzo ya kuwajengea uwezo wadau mbalimbali wa sekta ya Ubinifu, Utamaduni na Sanaa katika uandaaji wa taarifa ya kitaifa ya makubaliano ya UNESCO ya mwaka 2005 ya Ulinzi na Ukuzaji wa Vielelezo vya Utamaduni Anuwai iliyoratibiwa na UNESCO kwa ufadhiliwa wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Sweden (SIDA) iliyofanyika kwenye Hotel ya Courtyard Protea jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia tukio hilo ni Balozi wa Sweden nchini Mh. Andres Sjoberg (kushoto) pamoja na Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Bw. Tirso Dos Santos (kulia).
Mgeni rasmi Kaimu Katibu Mkuu wa Bodi ya Filamu Tanzania Dr. Kiagho Kilonzo (katikati) akimkabidhi Mwakilishi kutoka COSOTA Bw. Zephania Lyamula cheti cha ushiriki wa warsha ya mafunzo ya kuwajengea uwezo wadau mbalimbali wa sekta ya Ubinifu, Utamaduni na Sanaa katika uandaaji wa taarifa ya kitaifa ya makubaliano ya UNESCO ya mwaka 2005 ya Ulinzi na Ukuzaji wa Vielelezo vya Utamaduni Anuwai iliyoratibiwa na UNESCO kwa ufadhiliwa wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Sweden (SIDA) iliyofanyika kwenye Hotel ya Courtyard Protea jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia tukio hilo ni Balozi wa Sweden nchini Mh. Andres Sjoberg (kushoto) pamoja na Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Bw. Tirso Dos Santos (kulia).
Mgeni rasmi Kaimu Katibu Mkuu wa Bodi ya Filamu Tanzania Dr. Kiagho Kilonzo (katikati) akimkabidhi Afisa Uhusiano wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Bi. Mwamini Mohamed cheti cha ushiriki wa warsha ya mafunzo ya kuwajengea uwezo wadau mbalimbali wa sekta ya Ubinifu, Utamaduni na Sanaa katika uandaaji wa taarifa ya kitaifa ya makubaliano ya UNESCO ya mwaka 2005 ya Ulinzi na Ukuzaji wa Vielelezo vya Utamaduni Anuwai iliyoratibiwa na UNESCO kwa ufadhiliwa wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Sweden (SIDA) iliyofanyika kwenye Hotel ya Courtyard Protea jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia tukio hilo ni Balozi wa Sweden nchini Mh. Andres Sjoberg (kushoto) pamoja na Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Bw. Tirso Dos Santos (kulia).
Baadhi ya washiriki wakiwasilisha kazi za vikundi wakati wa warsha ya mafunzo ya kuwajengea uwezo wadau mbalimbali wa sekta ya Ubinifu, Utamaduni na Sanaa katika uandaaji wa taarifa ya kitaifa ya makubaliano ya UNESCO ya mwaka 2005 ya Ulinzi na Ukuzaji wa Vielelezo vya Utamaduni Anuwai iliyoratibiwa na UNESCO na kufadhiliwa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Sweden (SIDA) iliyofanyika kwenye Hotel ya Courtyard Protea jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki waliohudhuria warsha ya mafunzo ya kuwajengea uwezo wadau mbalimbali wa sekta ya Ubinifu, Utamaduni na Sanaa katika uandaaji wa taarifa ya kitaifa ya makubaliano ya UNESCO ya mwaka 2005 ya Ulinzi na Ukuzaji wa Vielelezo vya Utamaduni Anuwai iliyoratibiwa na UNESCO na kufadhiliwa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Sweden (SIDA) iliyofanyika kwenye Hotel ya Courtyard Protea jijini Dar es Salaam.
Mgeni rasmi Kaimu Katibu Mkuu wa Bodi ya Filamu Tanzania Dr. Kiagho Kilonzo katika picha ya pamoja na washiriki wa warsha ya mafunzo ya kuwajengea uwezo wadau mbalimbali wa sekta ya Ubinifu, Utamaduni na Sanaa katika uandaaji wa taarifa ya kitaifa ya makubaliano ya UNESCO ya mwaka 2005 ya Ulinzi na Ukuzaji wa Vielelezo vya Utamaduni Anuwai iliyoratibiwa na UNESCO na kufadhiliwa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Sweden (SIDA) iliyofanyika kwenye Hotel ya Courtyard Protea jijini Dar es Salaam.
***********************************
Na Mwandishi Wetu
SERIKALI ya Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Utamaduni, Elimu, Utamaduni na Sayansi la Umoja wa Mataifa (UNESCO) wamezindua mafunzo ya kuandaa ripoti ya kitaifa ya Mkataba wa UNESCO wa mwaka 2005.
Mkataba huo ambao serikali ya Tanzania umetia saini mwaka 2011 unazungumzia kulinda na kuendeleza uanuai wa kujieleza kiutamaduni.
Kwa mujibu wa matakwa ya mkataba huo kila baada ya miaka mine mataifa yanayotakiwa kuandika taarifa kuelezea utekelezaji wa mkataba huo. Mengi ya mataifa ikiwamo Tanzania haijawahi kuandika taarifa hiyo.
Kwa kawaida taarifa hiyo ni mchanganyiko wa taarifa za serikali na wadau wengine wakiwemo wa taasisi zisizo za kiserikali (AZAKI).
Fedha za kufanyia mafunzo hayo na kuandika taarifa zimetolewa na Sweden kupitia Mfuko wake wa Maendeleo (SIDA) chini ya uratibu wa UNESCO.
Taarifa hiyo ikishakamilika inatarajiwa kujadiliwa na wadau na kupelekwa serikalini ambako nako itapitiwa na kufikishwa UNESCO.
Akisoma hotuba ya ufunguzi wa mafunzo hayo kwa niaba ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe Kaimu Katibu Mkuu wa Bodi ya Filamu nchini Dk. Kiagho Kilonzo, alisema kwa sasa Tanzania ipo tayari kwa taarifa hiyo ndio maana imeunda kamati na kuanza mafunzo.
Kamati hiyo ya kuandika Ripoti inaongozwa na Robert Mwampembwa ambaye ikisimamiwa na Doreen Sinare, Ofisa mtendaji Mkuu wa COSATA ambaye ndiye mtaalamu wa mradi.
Kwa mujibu wa Balozi wa Sweden nchini Andres Sjoberg, ufadhili wa taifa hilo kwa nchi 16 zinazotakiwa kuandika utekelezaji wa mkataba huo umelenga kuhakikisha kuwa kuna uhuru wa wasanii kujieleza kiutamaduni na hasa wanawake.
Alisema kwa sasa dunia sio kijiji bali kutokana na mifumo ya upashanaji wa habari kuzidi kuimarika dunia imekuwa ni moja na hivyo masuala ua kujieleza yanabaki kuwa wazi kila mahali.
Naye Dk. Harrison Mwakyembe alisema kwa sasa Tanzania iko vizuri kutokana na kuridhia mkataba huo wa 2005 ambao lengo lake kubwa ni kutengeneza fursa kwa wasanii kuwa karibu na soko la dunia.
Aidha alisema kwamba nia kubwa ya makubaliano hayo ni kulinda uanuai wa kujieleza kiutamaduni na hivyo kutengeneza mazingira ya kukua kwa utamaduni kwa manufaa ya watu wote.
Kwa mujibu wa Dk. Mwakyembe ni matarajio yake kwamba ifikapo Aprili mwakani taarifa hiyo itakuwa imekamilika na tayari kutumika na tasnia ya utamaduni na ubunifu na dunia pia.
Naye Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa UNESCO Dar es Salaam, Tirso Dos Santos, alisema kwamba taarifa ya Tanzania itaunganishwa na mataifa mengine ili kuelezea dunia inavyoendelea katika kutekeleza matakwa ya mkataba.
“Sote tunajua kwamba Tanzania ni kitovu cha ubunifu na hasa kwa kuwa na matamasha mbalimbali hali inayodhirisha umuhimu wa mradi huu kwa ajili ya maendeleo maendelevu “, alisema mwakilishi huyo wa UNESCO ambapo aliyataja matamasha makubwa ya filamu nchini ikiwamo ya ZIFF na Azam kama moja ya uanuai wa utamaduni.