Ilikuwa dakika, saa, siku, mwezi na sasa ni miaka 10 kamili imetimia tangu Rafiki yetu, Baba Yetu, Ndugu Yetu, Babu Yetu, Mwalimu wetu na Mkuu wa wilaya mstaafu Ndugu JOHN S. SHILATU ututoke ghafla mnamo Julai 23, 2013.
Unakumbukwa mno na Mkeo, wanao, wajukuu, ndugu, jamaa, marafiki zako na ukoo wa Shilatu na Makere ambao kamwe hawatakaa wausahau ucheshi, upendo, kujali na huruma zako kwa kila mtu.
Tunazidi kumuomba Mwenyezi Mungu akupumzishe mahali pema peponi.
JINA LA BWANA LIHIMIDIWE! AMEN!