Na Ahmed Mahmoud
RAIS Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete Amesema Bara la Afrika kumekuwepo na mafanikio na changamoto kwenye suala la utekelezaji wa Demokrasia na baadhi ya nchi mambo yameharibika kabisa Kwa Mapinduzi ya kijeshi Mara 21 ndani ya kipindi cha miaka hii 8.
Ameyasema hayo Jijini Arusha siku ya Pili ya Mkutano wa Jukwaa la Demokrasia ambapo ameeleza baadhi ya changamoto hizo kuwa ni Rushwa, uchache wa wanawake kushiriki uongozi
Kwa mujibu wa Kikwete Amesema Mapinduzi ya kijeshi yamekuwa yakiendelea maeneo mengi Tena wakipindua Serikali zilizochaguliwa kwenye chaguzi za kidemokrasia hali ambayo inaonyesha Demokrasia inafanikiwa huku maeneo mengine mambo yanarudi nyuma.
Kuna baadhi ya nchi zinapitia kwenye vita vya wenyewe Kwa wenyewe mfano Sudan hakuna Mapinduzi pale lakini wapo majenerali wawili wameamua kuivuruga nchi yao hata wanachopigania hakijulikani mazingira hayo hata Demokrasia haiwezekani Kwani walipomuondoa Al Bashir ilikuwa waende kwenye uchaguzi warejee kwenye domokrasia.
“Ndani ya miaka hii minne kumekuwepo na Mapinduzi ya kijeshi Mara 8 na Kule Bukinafaso Mali Geneu Hawa wamepinduana Mara mbili hadi tatu Hawa wamepindua. viongozi waliochaguliwa kidemokrasia hali hiyo inaonyesha ndani ya kipindi cha miaka 8 wamepindua Mara 21 Serikali za kidemokrasia hili ndio changamoto”
Amesema kwamba hata huku ambapo inaonekana Kuna Demokrasia Bado chaguzi Zinaonyesha Zina mashaka ushiriki wa wanawake unakuwa hauridhishi na pia vijana Bado hauridhishi yapo matatizo makubwa ya Rushwa katika demokrasia za nchi zetu lakini pia udhaifu wa Taasisi zenyewe zinazosimamiwa demokrasia Kwa mazingira hayo domokrasia barani Afrika inapitia katika changamoto. kubwa
Awali Mwenyekiti wa viongozi hao wastaafu na Rais Mstaafu wa Sierra Leone Ernest Bai Koroma Amesema Demokrasia katika bara la Afrika imeanza tokea kabla ya uhuru wa nchi zetu na baada ya uhuru Kwa viongozi kuingia Kwa kuchaguliwa lakini Kuna wengine Bado wanaingia Kwa njia za kupindua wengine hili ni changamoto ambazo zipo na Hivi karibuni zimekuwa Kwa kasi.
Amesema Bara la Afrika litaendelea kuwepo na Demokrasia na watashauri katika Mkutano wa Au kuwepo na Agenda itakayojadili ukuaji wa Demokrasia utawala Bora hivyo utoaji wao maoni hautaishia katika Mkutano huo utaenda mbali zaidi Kwa lengo la kuwa agenda yetu itakayosaidia nchi zetu kuweza kukuza Demokrasia.
Kwa Upande wake Rais Mstaafu wa Msumbiji Joachim Chisano Amesema kwamba changamoto za kidemokrasia barani Afrika hazitufanyi mafanikio yetu kupiga hatua hivyo juhudi za kuziondoa zinahitajika Ili kufikia mafanikio ya kidemokrasia kiuchumi na kimaendeleo.
Hata hivyo amebainisha kwamba wingi wa matukio ya changamoto katika kutekeleza domokrasia Kwa bara letu Kwa siku hizi za karibuni ni vita vya wenyewe Kwa wenyewe Rushwa na ushiriki mdogo wa vijana na wanawake katika uongozi.
kumekuwepo na mafanikio na changamoto kwenye suala la utekelezaji wa Demokrasia na baadhi ya nchi mambo yameharibika kabisa Kwa Mapinduzi ya kijeshi Mara 21 ndani ya kipindi cha miaka hii 8.