Nahodha wa timu ya Mbega Mwekundu akikabidhiwa vifaa na mbunge wa jimbo la kilolo Vennance Mwamoto akiwa sambamba na Mwenyekiti wa chama
cha mpira wa miguu mkoa wa Iringa Cyprian Kuyava kwa ajili ya ligi ya Asas Super League 2019/2020

Nahodha wa timu ya IroleFc akikabidhiwa vifaa na mbunge wa jimbo la kilolo Vennance Mwamoto akiwa sambamba na Mwenyekiti wa chama cha mpira wa miguu mkoa wa Iringa Cyprian Kuyava kwa ajili ya ligi ya Asas Super League 2019/2020
Mchezaji wa timu ya Mbega Mwekundu akikabidhiwa vifaa na mbunge wa jimbo la kilolo Vennance Mwamoto akiwa sambamba na Mwenyekiti wa chama cha mpira wa miguu mkoa wa Iringa Cyprian Kuyava kwa ajili ya ligi ya Asas Super League 2019/2020
Nahodha wa timu ya IroleFc akikabidhiwa vifaa na mbunge wa jimbo la kilolo Vennance Mwamoto akiwa sambamba na Mwenyekiti wa chama cha mpira wa miguu mkoa wa Iringa Cyprian Kuyava kwa ajili ya ligi ya Asas Super League 2019/2020
NA FREDY MGUNDA,IRINGA.
Mbunge wa jimbo la kilolo
Vennance Mwamoto ametoa vifaa vya michezo kwa timu mbili zinazoshiriki ligi ya Asas
Super League ambazo ni Irole Fc na Mbegu Mwekundu ambazo zinatoka katika wilaya
ya Kilolo

Akizungumza wakati wa
kukabidhi jezi,viatu na mipira mbunge huyo alisema kuwa ametoa vifaa hivyo kwa
lengo la kuhakikisha kuwa wanafanya vizuri kwenye ligi ya Asas Super League ya
msimu wa mwaka wa 2019/2020.

Hivi vifaa viwaongezee hali
ya kupambana ili kuhakikisha mnakuwa mabingwa wa league hii ambayo imekuwa na
ubora sana tofauti na ilivyokuwa hapo awali,nawaombeni sana hakikisheni
mnapambana kupata matokeo chanya kila mechi mnayoicheza”alisema Mwamoto

Mwamoto aliwataka wachezaji
wa timu zote mbili kucheza kwa nidhamu ya juu kwa kuwa mpira miguu ndio unataka
hiyo.

“Timu ya Mbega Mwekundu na
wenzenu Irole Fc hamjaonyesha nidhamu kwenye mechi hii zenu hivyo mnatakiwa
kulinda nidhamu yenu ili muwezekufika mbali kisoka” Mwamoto

Mwamoto alisema kuwa jezi na
vifaa vingine vyote vina thamani ya kiasi cha shilingi milioni mbili na vyote
vimetolewa na ofisi ya mbunge kwa lengo la kuwasaidia timu hizo kwenye ligi

Naye Mwenyekiti wa chama cha
mpira wa miguu mkoa wa Iringa Cyprian Kuyava alisema kuwa ataendelea
kuzichangia timu hizo nauli pamoja na maji ya kunywa kwenye kila mchezo hivyo
wachezaji wanapaswa kucheza kishindani ili wapate matokeo.

“Mimi nitatoa laki moja kwa
kila mechi ambayo mtashinda hivyo kazi imebakia kwenu kuhakikisha mnashinda
michezo yote iliyobakia na kufanikiwa kuingia nane bora” alisema Kuyava

Aidha Kuyava alisema kuwa
mbunge wa jimbo la Kilolo Vennance Mwamoto ameongeza kiasi cha shilingi elfu
hamsini kwa kila mechi ambayo watashinda hivyo inakuwa laki moja na nusu kwa
kila mchezo watakaoshinda .

Kuyava alimalizia kwa
wachezaji na viongozi kuwa na nidhamu kwenye michezo mbalimbali ili kuwa timu
bora na yenye ushindani wa kweli.