Rais Mhe. Samia apokea Taarifa ya Tume ya Kuangalia Jinsi na Kuimarisha Taasisi za Haki Jinai hapa Tanzania kutoka kwa Jaji Mstaafu Mh. Mohammed Chande Ikulu Jijini Dar es Salaam Leo Julia 15, 2023.
Rais Mhe. Samia akizungumza mara baada ya kupokea Taarifa ya Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuimarisha Taasisi za Haki Jinai hapa Tanzania, Ikulu Jijini Dar es Salaam
Mwenyekiti wa Tume ya Kuangalia Jinsi na Kuimarisha Taasisi za Haki Jinai hapa Tanzania kutoka kwa Jaji Mstaafu Mh. Mohammed Chande akizungumza wakati wa kukabidhi taarifa hiyo kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Ikulu Leo.
Mwenyekiti wa Tume ya Kuangalia Jinsi na Kuimarisha Taasisi za Haki Jinai hapa Tanzania kutoka kwa Jaji Mstaafu Mh. Mohammed Chande akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wenzake wakati wa kukabidhi taarifa hiyo kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Ikulu Leo.
Kutoka Julia ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa, Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma, Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Moses Mpogole Kusiluka na Katibu Mkuu Kiongozi Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhandisi Zena Ahmed Said,