Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitembelea mabanda katika Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Biashara, yanayofanyika kwenye Viwanja vya Manonesho vya Sabasaba, jijini Dar es Salaam. Julai 05, 2023 kabla ya kuyazindua rasmi maonesho hayo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia kahawa, wakati alipo tembelea banda la Tanganyika Instant Coffee katika Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Biashara, yanayofanyika kwenye Viwanja vya Maonesho ya Sabasaba, jijini Dar es Salaam. Julai 05, 2023. Kulia ni Meneja Masoko wa Kampuni hiyo Rewina Peter. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia moja ya jiwe la madini, wakati alipo tembelea banda la Pring Mineral Limited katika Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Biashara, yanayofanyika kwenye Viwanja vya Maonesho ya Sabasaba, jijini Dar es Salaam. Julai 05, 2023. Kushoto ni Erasto Kafyulilo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akioneshwa ramani ya Mkongo wa Taifa na Mkurugenzi Mkuu TTCL katika Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Biashara, yanayofanyika kwenye Viwanja vya Maonesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam. Julai 05, 2023. Kushoto ni Mwana Jiolojia, Erasto Kafyulilo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi wa Kampuni ya Imalilo Nutrition Educators katika Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Biashara, yanayofanyika kwenye Viwanja vya Maonesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam. Julai 05, 2023. Kulia ni Mke wa aliyekua Rais wa awamu ya tatu, Mama Anna Mkapa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia asali inayozalishwa na Kampuni ya Pinda Honey, katika Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Biashara, yanayofanyika kwenye Viwanja vya Maonesho ya Sabasaba, Kurasini jijini Dar es Salaam. Julai 05, 2023. Kushoto ni Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza, katika Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Biashara, yanayofanyika kwenye Viwanja vya Maonesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam. Julai 05, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)