Waziri Mkuu, Kasssim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbarali Mhe. Francis Mtega, Katika uwanja wa mpira wa Chimala Wilaya ya Mbarali, Mkoani Mbeya Julai 04, 2023 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbarali Mhe. Francis Mtega, Katika uwanja wa mpira wa Chimala Wilaya ya Mbarali, Mkoani Mbeya Julai 04, 2023 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipowaongoza waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbarali Mhe. Francis Mtega, Katika uwanja wa mpira wa Chimala Wilaya ya Mbarali, Mkoani Mbeya Julai 04, 2023 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)