Muonekano wa hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa Mji wa Serikali katika eneo la Mtumba jijini Dodoma. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekagua ujenzi huo Julai 3, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Watumishi Housing Investments (WHI) inaendelea kuwafikia na kutoa elimu kwa wananchi mbalimbali wanaotembelea banda lake lililopo katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC),…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Ikulu) anayesimamia Fedha na Mipango Zanzibar, Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum, ametembelea banda la Watumishi Housing Investments (WHI)…