Baadhi washiriki wakichangia mada leo tarehe 14/6/2023 katika Kongamano la Kitaifa la Sayansi Teknolojia na Ubunifu linalofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Kimataifa Cha Mikutano Cha Kumbukumbu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam.
Kongamano hilo limeandaliwa na COSTECH kupitia mradi wa elimu ya juu kwa mageuzi ya Kiuchumi (Higher Education for Economic Transformation [HEET] Project) unaofadhiliwa na Benki ya Duniani.