Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, Bungeni jijini Dodoma, Juni 8, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mjini Magharibi, Mwanakhamis Kassim, Bungeni jijini Dodoma, Juni 8, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu