Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mh. Khamis Abdulla Said akizungumza na Wafanyakazi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), katika Taasisi hiyo Mbweni Zanzibar.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), wakimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mh. Khamis Abdulla Said katika kikao cha pamoja na Wafanyakazi wa Taasisi ya Karume huko Mbweni Zanzibar.
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mh. Khamis Abdulla Said akishuhudia hafla ya utiaji saini mkataba wa makubaliano ya pamoja (MoU) baina ya Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), na Kampuni ya Automatic System Engineering (ASE) inayojishulisha na utoaji wa mafunzo maalum ya usalama ya kuzuia ajali katika maeneo ambayo yanamazingira ya miripuko. Hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Mkutano wa Dkt. Idrissa Muslim Hijja katika Taasisi ya Karume Mbweni Zanzibar.
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mh. Khamis Abdulla Said akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), pamoja na Kampuni ya Automatic System Engineering (ASE), katika hafla ya utiaji saini mkataba wa makubaliano ya pamoja (MoU) baina ya Taasisi ya Karume na Kampuni ya Automatic System Engineering (ASE).
Mkuu wa Taasisi ya Sayansi na Teknolijia ya Karume (KIST) Dkt.. Mahmoud Abdulwahab Alawi na Mkurugenzi wa Puma Energy Tanzania Bi Fatma Mohamed kwa pamoja wakionesha Mikataba baada ya utiaji saini wa Makubaliano baina ya Tasisi ya Karume (KIST), na Washirika wa Puma Energy Tanzania, Hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Mkutano wa Dkt. Idrissa Muslim Hijja katika Taasisi ya Karume Mbweni Zanzibar.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Lela Muhamed Mussa akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolijia ya Karume (KIST) pamoja na Washirika wa Puma Energy Tanzania katika hafla ya utiaji saini wa Makubaliano baina ya Tasisi ya Karume (KIST), na Washirika wa Puma Energy Tanzania, huko katika Taasisi ya Karume Mbweni Zanzibar.