Mkurugenzi wa Tiba Shirikishi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Delilah Kimambo akimkabidhi cheti afisa Uuguzi kutoka Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH) Agnes Msalilwa baada ya kumaliza mafunzo ya miezi sita ya namna ya kuwahudumia wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalum pamoja na wagonjwa wanaofanyiwa upasuaji wa moyo yaliyomalizika hivi karibuni katika Taasisi hiyo.
Mkurugenzi wa Tiba Shirikishi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Delilah Kimambo akimkabidhi cheti afisa Uuguzi kutoka Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH) Gasper Sam baada ya kumaliza mafunzo ya miezi sita ya namna ya kuwahudumia wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalum pamoja na wagonjwa wanaofanyiwa upasuaji wa moyo yaliyomalizika hivi karibuni katika Taasisi hiyo.
Mkurugenzi wa Tiba Shirikishi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Delilah Kimambo akimkabidhi cheti afisa Uuguzi kutoka Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH) Reinfrida Hassan baada ya kumaliza mafunzo ya miezi sita ya namna ya kuwahudumia wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalum pamoja na wagonjwa wanaofanyiwa upasuaji wa moyo yaliyomalizika hivi karibuni katika Taasisi hiyo.
Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH) ambaye pia ni Daktari bingwa wa upasuaji wa moyo na mishipa ya damu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Bashir Nyangasa akitoa neno la shukrani wakati wa kuwaaga maafisa Uuguzi watatu kutoka BMH waliomaliza mafunzo ya miezi sita ya namna ya kuwahudumia wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalum pamoja na wagonjwa wanaofanyiwa upasuaji wa moyo yaliyomalizika hivi karibuni katika Taasisi hiyo.
Maafisa Uuguzi wa Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH) wakikata keki wakati wa hafla fupi ya kuwaaga baada ya kumaliza mafunzo ya miezi sita ya namna ya kuwahudumia wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalum pamoja na wagonjwa wanaofanyiwa upasuaji wa moyo yaliyokuwa yakitolewa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na kumalizika hivi karibuni.
Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Robert Mallya akilishwa keki na maafisa Uuguzi wa Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH) waliomaliza mafunzo ya miezi sita ya namna ya kuwahudumia wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalum pamoja na wagonjwa wanaofanyiwa upasuaji wa moyo yaliyokuwa yakitolewa JKCI na kumalizika hivi karibuni. Picha na: JKCI