|
Bi. Zamana (wa kwanza kushoto) katika picha ya pamoja na Mfalme Charles III (wa kwanza kulia) wakati wa hafla ya kuwapongeza waliopata tuzo iliyoandaliwa na Mfalme huyo |
Bi. Zamana (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mhe. Dkt. Asha-Rose Migiro (wa pili kushoto) na maafisa wengine wa Ubalozi huo.
|