Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TAWLA, Bi. Lulu Ng’wanakilala akiongoza mkutano Mkuu wa 33 wa Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania TAWLA unaofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam Jumamosi Mei 6,2023, Mkutano Mkuu huo unajadili Maendeleo ya Chama hicho na mambo kadhaa zikiwemo changamoto.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TAWLA, Bi. Lulu Ng‘wanakilala akiongoza mkutano Mkuu wa 33 wa Chamacha Wanasheria Wanawake Tanzania TAWLA unaofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam Jumamosi Mei 6,2023 kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Chama hicho Bi. Tike Mwambipile.
Picha mbalimbali zikiowaonesha wanachama wa Chama hicho wakifuatilia Mkutano Mkuu wa Mwaka wakati ukiendelea kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.