Meridianbet wakongwe wa michezo ya kubashiri wanakuambia maelekezo ni yaleyale ya kujisogeza karibu na wateja wao,Hiyo ni baada ya leo kuzindua duka jingine mitaa ya Buguruni Malapakwajili ya kusogeza huduma zao kwa wakazi wa eneo hilo ambapo watapata fursa ya kubashiri ligi zote kubwa barani ulaya na hata hapa Tanzania pamoja na michezo ya kasino mitandaoni.
Mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet wenye ODDSBOMBAnchini wanakuambia wao ukichagua tu wanakupa na ndivyo ambavyo wanaendelea kufanya, Kwani Baada ya uzinduzi wa duka jipya leo mitaa ya Buguruni Malapa wakazi wa eneo hilo watachagua na watapewa kwenye kila mchezo watakaocheza kutokana na bonasi kibao ambazo zimetolewa.
Afisa Masoko na Mawasiliano Meridianbet MatinaNkurluamesema kuwa; “Huu ni mwendelezo wa kuongeza maduka ya kubashiri na kuzidi kuongeza huduma zetu ili kuzidi kuwafikia zaidi wateja wetu. Wafanyabiashara na wajasiriamali wote wa Buguruni Malapa wanakaribishwa sana na wote waliokuwa karibu na Buguruni Malapa.”
Sub-Heading:
Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii
Unataka ODDS KUBWA? Nenda Buguruni Malapa utakutana na kile ambacho unachokitaka na Meridianbet wanakupa kile amabcho unataka wewe mteja wao, kwani mteja ni mfalme. Lakini pia unaweza Ukaturbo mkeka wako ili kuokoa pesa yako au unataka pesa ya haraka. Yote haya unayakuta hapa hapa Meridianbet.
Pia Meridianbet imeleta mchongo wa hela kila siku. Kuna hii bonasi ya ukaribisho kwa wateja wapya wote wanapata Tsh 25,000/= ya kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Ingia mchezoni na Meridianbet.
Unachelewa wapi kujiunga na Meridianbet upate bonasi kubwa kama hiyo uitumie kucheza michezo ya kasino ambayo inayotolewa na Meridianbet na uipendayo wewe mteja wao. Jiunge sasa na Mabingwa ujiweke kwenye nafasi ya ushindi.
Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.
Meridianbet kama kaulimbiu yao isemavyo Chagua Tukupe, wanazidi kujipambanua kila kona ya Tanzania wanazidi kuchanja mbuga na kuteka soka la kubetia wakiwa na michezo mingi ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Roullette, Sloti na mchezo wa Aviator ambao watu wengi hatakama hujui mpira unaweza kuucheza.
Wakazi wa eneo hilo wamefurahishwa sana na ujio wa Meridianbet, na wameshukuru sana kwa kuwafungulia Duka jipya la kubashiria katika eneo hilo na watajiunga na Meridianbet kwa ODDS KUBWA na machaguo mengi zaidi.
Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator,Roulette.
NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#
#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE