Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kukagua na kupokea taarifa ya maandalizi ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI MOSI) 2023 kitaifa kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro, Aprili 30, 2023. Wa pili kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako, kuilia ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi, kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Fatuma Mwasa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako (kulia) baada ya kukagua na kupokea taarifa ya maandalizi ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI MOSI) 2023 kitaifa kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro, Aprili 30, 2023. Wa tatu kuilia ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi, kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Fatuma Mwasa na wa pili kushoto ni Ris wa Shirikisho la Wafanyakazi Tanzania (TUKTA), Tumaini Nyamuhokya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)