Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe wakati alipofungua Kituo cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Chamwino jijini Dodoma, Aprili 26, 2023. Wengine kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje ya Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Balozi Mbarouk Nassoro Mborouk , Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamai Masauni, Kamishina Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, John William Masunga, Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Anamringi Macha na kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje , Ulinzi na Usalama, Vita Kawawa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Kituo cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Chamwino n jijini Dodoma, Aprili 26, 2023. Wengine kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Kaspar Mmuya, mkuu wa Mkoa a Dodoma, Rosemary Senyamule, Kamshina Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, John William Masunga na kulia ni Waziri wa mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamadi Masauni.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kufungua Vituo cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Chamwino na Nzuguni jijini Dodoma, Aprili 26, 2023.
Baadhi ya Viongozi na waalikwa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza baada ya kufungua Vituo cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Chamwino na Nzuguni jijini Dodoma, Aprili 26, 2023.
Baadhi ya Viongozi na waalikwa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza baada ya kufungua Vituo cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Chamwino na Nzuguni jijini Dodoma, Aprili 26, 2023.