Mratibu wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET), Bw. Ochola Wayoga (kushoto mbele) akiwaongoza washiriki wa Maadhimisho ya Juma la Elimu kitaifa na wadau wengine wa elimu kusaidia shughuli za ujenzi wa bweni la wanafunzi wenye ulemevu katika Shule ya Msingi Mvuha, Mkoani Morogoro. |
Washiriki wa Maadhimisho ya Juma la Elimu kitaifa na pamoja na wadau wengine wa elimu wakisaidia shughuli za ujenzi wa bweni la wanafunzi wenye ulemevu katika Shule ya Msingi Mvuha, Mkoani Morogoro. |
Muonekano eneo la msingi kwenye ujenzi wa bweni la wanafunzi wenye ulemevu katika Shule ya Msingi Mvuha, Mkoani Morogoro. |
Baadhi ya washiriki hao wakipambana kujaza kifusi kwenye eneo la msingi kwenye ujenzi wa bweni la wanafunzi wenye ulemevu katika Shule ya Msingi Mvuha, Mkoani Morogoro. |
Shughuli za ujazaji kifusi ikiendelea inayofanywa na wadau wa Maadhimisho ya Juma la Elimu kitaifa kwenye ujenzi wa bweni la wanafunzi wenye ulemevu katika Shule ya Msingi Mvuha, Mkoani Morogoro. |
Sehemu ya wadau wa Maadhimisho ya Juma la Elimu kitaifa wakishiriki shughuli za ujenzi wa bweni la wanafunzi wenye ulemevu katika Shule ya Msingi Mvuha, Mkoani Morogoro. |