Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango weka Saini kitabu cha maombolezo ya msiba wa Mhandisi Joseph Malongo aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira mara alipowasili nyumbani kwa Marehemu Jijini Mwanza leo tarehe 11 Aprili 2023. (Kulia ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye Mpango)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wakitoa pole kwa ndugu na marafiki wa marehemu Mhandisi Joseph Malongo aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira wakati walipofika nyumbani kwa marehemu Jijini Mwanza leo tarehe 11 Aprili 2023.