Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohamed Mahamoud (kulia) wakati alipowafutarisha Wananchi wa Mkoa huo jana katika Ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni Wilaya ya kaskazini “A”ikiwa ni kawaida yake kufutarisha katika Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.[Picha na Ikulu] 05/04/2023.
Baadhi ya Wananchi wa Vijiji mbali mbali katika Mkoa wa Kaskazini Unguja wakijipatia Mlo wa Futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika Ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni Wilaya ya Kaskazini “A” jana.
Akina Mama katika Mkoa wa kaskazini Unguja kutoka Votongoji tofauti wakipata Mlo wa Futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi,hafla ilyofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni Wilaya ya Kaskazini “A” jana.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mke wa Makamo wa Pili wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Mama Asha Iddi (katikati) Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Riziki Pembe Juma(kulia) na Mtoto wa Rais wa Zanzibar Jamila Hussein Mwinyi,wakiwa katika Futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi,hafla ilyofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni Wilaya ya Kaskazini “A” jana.
Baadhi ya akina Mama katika Mkoa wa Kaskazini Unguja kutoka Votongoji tofauti wakipata Mlo wa Futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi,hafla ilyofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni Wilaya ya Kaskazini “A” jana
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mke wa Makamo wa Pili wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Mama Asha Iddi (katikati) Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia,
Wananchi wa Vijiji mbali mbali katika Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipowashukuru kwa kupata Mlo wa Futari pamoja nao aliyowaandalia jana katika Ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni Wilaya ya Kaskazini “A”.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati)alipokuwa akitoa nasaha kwa Wananchi wa Vijiji mbali mbali katika Mkoa wa Kaskazini Unguja walioshiriki katika Futari aliyowaandalia jana katika Ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni Wilaya ya Kaskazini “A”(kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Sheria,Katiba,Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman,Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohamed Mahamoud (wa pili kulia)Makamo wa Pili wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kaabi .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto)Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Sheria,Katiba,Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman9kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohamed Mahamoud,wakiitikia dua aliyoimba Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kaabi(kushoto) baada ya Futari aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja jana katika Ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni Wilaya ya Kaskazini “A”.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati)akipeana mikono na Bw.Khamis Khami Haji wakati kupokea zawadi mbali mbali zilizotolewa na makundi ya Watu wenye Ulemavu,Vijana,Wajane,Wanawake na Wazee baada ya Futari aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja jana katika Ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni Wilaya ya Kaskazini “A”,wengine (kulia)Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kaab na Mkuu wa Mkoa kaskazini Mhe.Ayoub Mohamed Mahamoud.