Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation “ZMBF” Mama Mariam Mwinyi,alipokuwa akitoa hutuba yake ya Ufunguzi wa Dakhalia ya Wanafunzi Wanawake katika Skuli ya Sekondari ya Lumumba,ujenzi wake uliofadhiliwa na Taasisi ya World Share ya Korea Kusini, hafla iliyofanyika leo katika viwanja vya Skuli hiya,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 30/03/2023.
Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Sekondari ya Lumumba Ndg.Mussa Hassan,alipokuwa akizungumza machache na kuwashukuru Taasisi ya World Share ya Korea Kusini kwa kuweza kusaidia ujenzi wa Dakhalia ya Wanafunzi Wanawake wa skuli hiyo leo ambapo Mgeni rasmi akiwa Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation “ZMBF” Mama Mariam Mwinyi (wa pili kushoto).[Picha na Ikulu] 30/03/2023.
Baadhi ya Walimu katika Skuli ya Sekondari ya Lumumba,wakiwa katika hafla ya Ufunguzi wa Dakhalia ya Wanafunzi Wanawake wa skuli hiyo leo Mgeni rasmi alikuwa Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation “ZMBF” Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani) ambapo ujenzi wake umefadhiliwa na Taasisi ya World Share ya Korea Kusini.[Picha na Ikulu] 30/03/2023.
Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation “ZMBF” Mama Mariam Mwinyi( wa pili kushoto) alipokuwa akimkabidhi zawadi ya Mkoba Mwanafunzi Ummukulthum Omar Hussein,Form Five “B” wa Skuli ya Sekondari ya Lumumba leo katika hafla ya Ufunguzi wa Dakhalia ya Wanafunzi Wanawake,(katikati)Mkurugenzi wa World Share nchini Tanzania Bw.Sung Hoon Lee,(kushoto) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa .[Picha na Ikulu] 30/03/2023..