Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania (JOWUTA), Selemani Msuya akimkabidhi cheti cha shukrani, Ofisa Mwandamizi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Semu Mwakyanjala, kutokana na mamlaka hiyo kufadhili mkutano mkuu wa JOWUTA uliofanyika Januari 27,2023 jijini Dodoma,
Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania (JOWUTA), Selemani Msuya akimkabidhi cheti cha shukrani, Ofisa Mwandamizi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Semu Mwakyanjala, kutokana na mamlaka hiyo kufadhili mkutano mkuu wa JOWUTA uliofanyika Januari 27,2023 jijini Dodoma, katika ni Naibu Katibu wa JOWUTA, Said Mmanga.