Naibu Waziri wa wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma (kushoto) akizungumza na watumishi wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) wakati alipotembelea ofisi za baraza hilo kwa lengo la kuona shughuli mbalimbali zinazofanywa na baraza hilo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Watumishi wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) wakimsikiliza Naibu Waziri wa wizara Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma wakati Naibu Waziri huyo alipotembelea ofisi za baraza hilo kwa lengo la kuona shughuli mbalimbali zinazofanywa na baraza hilo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Neema Msita akisoma taarifa ya baraza hilo kwa Naibu Waziri wa wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma wakati Naibu Waziri huyo alipotembelea ofisi za baraza hilo kwa lengo la kuona shughuli mbalimbali zinazofanywa na baraza hilo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo toka Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Ally Mayayi (kulia) akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa wizara hiyo Mhe. Hamis Mwinjuma wakati Naibu Waziri huyo alipotembelea ofisi za Baraza la Michezo la Taifa (BMT) kwa lengo la kuona shughuli mbalimbali zinazofanywa na baraza hilo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Neema Msita akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma wakati Naibu Waziri huyo alipotembelea ofisi za baraza hilo kwa lengo la kuona shughuli mbalimbali zinazofanywa na baraza hilo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Neema Msita (katikati) akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma (kushoto) wakati Naibu Waziri huyo alipotembelea ofisi za baraza hilo kwa lengo la kuona shughuli mbalimbali zinazofanywa na baraza hilo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma (kulia) akizungumza na watumishi wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) katika moja ya ofisi ya baraza hilo wakati alipotembelea ofisi hizo kwa lengo la kuona shughuli mbalimbali zinazofanywa na baraza hilo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma (aliyekaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watumishi wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) wakati alipotembelea ofisi hizo kwa lengo la kuona shughuli mbalimbali zinazofanywa na baraza hilo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.