Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akihutubia wakazi na wanachama wa shina 2,Tawi la Mtinko, Singida Vijijini (Wilaya ya Kichama) ikiwa sehemu ya ziara ya kuimarisha Chama pamoja na kukagua, kuhimiza na kusimamia Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025.

Katika ziara hiyo Katibu Mkuu ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Mjema pamoja na Katibu wa NEC Oganaizesheni Ndugu Issa Haji Ussi (Gavu).

Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na Wazee na Wakazi Iongero mara baada ya kukagua maendeleo ya Ujenzi hospitali ya Ilongero  ikiwa sehemu ya ziara ya kuimarisha Chama pamoja na kukagua, kuhimiza na kusimamia Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025.

Katika ziara hiyo Katibu Mkuu ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Mjema pamoja na Katibu wa NEC Oganaizesheni Ndugu Issa Haji Ussi (Gavu).