
WANAFUNZI wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), wanaosoma fani ya Electronics and Telecommunication engineering Diploma mwaka wa tatu, wakifanya Mtihani wa Vitendo jinsi ya kutengeneza Monitor za Computer (LCD-MONITER), ikiwa ni wiki ya mwisho ya mitihani ya Semester ya kwanza katika Taasisi ya karume .
PICHA NA MARYAM KIDIKO-KIST.
