Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Singida, Aysharose Mattembe akizungumza kwenye ziara hiyo.
Wakina mama wa CCM wakimpungia mikono Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo wakati alipotembela Shina namba Tano wilayani Manyoni.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, Daniel Chongolo akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Meneja wa TANROAD mkoa wa Singida Mhandisi Msama Msama (kushoto) alipotembelea mradi wa ujenzi wa barabara inayojengwa kwa kiwango cha lami ya kilomita 25 inayotoka Mkiwa hadi Itigi inayojengwa kwa gharama ya Sh.Bilioni 29.7