WASHIRIKI wa Mkutano Mkuu wa Kimataifa wa Wadau mbalimbali katika Sekta ya Utalii “The Z Summit” wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 23-2-2023.(Picha na Ikulu)
MSANII wa muziki wa Taarab Zanzibar Siti Amina akitowa burudani wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Kimataifa wa Wadau mbalimbali wa Sekta ya Utalii “The Z Summit” uliofunguliwa leo 23-2-2023 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipiga makofi kumpongeza Msanii wa muziki wa Taarab Siti Amina baada ya kutowa burudani wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Kimataifa wa Wadau mbalimbali wa Sekta ya Utalii “The Z Summit” uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 23-2-2023, na (kulia wa Rais) Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe.Simai Mohammed Said na Waziri wa Maliasili na Utalii Tanzania Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa na ( kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Bw. Rahim Bhaloo.(Picha na Ikulu)
MWENYEKITI wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Bw.Rahim Bhaloo akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Kimtaifa wa Wadau mbalimbali wa Sekta ya Utalii “The Z Summit” uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 23-2-2023.(Picha na Ikulu)
WAZIRI wa Maliasi na Utalii Tanzania Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Wadau mbalimbali wa Sekta ya Utalii “The Z Summit” uliofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, leo 23-2-2023, katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
WAZIRI wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Kimataifa wa Wadau mbalimbali wa Sekta ya Utalii “The Z Summit” kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kuufungua mkutano huo uliofanyika leo 23-2-2023, katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano Mkuu wa Kimataifa wa Wadau mbalimbali katika Sekta ya Utalii “The Z Summit” , uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki, Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 23-2-2023.(Picha na Ikulu)