Mshambuliaji Raheem Sterling akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la kwanza dakika ya 66, zikiwa ni dakika 10 tu tangu aingie kuchukua nafasi ya Bernardo Silva kabla ya Phil Foden kufunga la pili dakika ya 90 na ushei katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Dinamo Zagreb kwenye mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Etihad PICHA ZAIDI SOMA HAPA
MAN CITY YAZIDI KUPETA LIGI YA MABINGWA ULAYA
By Alex Sonna
October 2, 2019 | 5:58 am

Related Stories
View all
Michezo
2 days ago
MALIASILI YAWATOA JASHO WAZEE SHIMIWI 2026
.Na Sixmund Begashe, Moshi WIZARA ya Maliasili na Utalii kupitia Club yake ya Michezo, imeendelea kuwa gumzo kwenye Michezo ya SHIMIWI 2026 baada ya…
Michezo
3 days ago
MGUMBA ALETA DHAHABU NYINGINE MALIASILI
Na Sixmund Begashe, Moshi WAPENZI wa michezo wa Mkoa wa Kilimanjaro wameendelea kushuhudia Wizara ya Maliasili na Utalii ikisomba medali ya tatu ya dhahabu…
