Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakifuatana na Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Mhe.Simai Mohamed Said (kushoto) mara baada ya kutembelea maonesho ya wajasiriamali katika hafla ya ufungaji wa Kongamano la sita la Kiswahili la Kimataifa katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba leo.[Picha na Ikulu] 18/12/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (kulia) wakipata maelezo kutoka kwa Ndg,Mtumwa Rashid Khamis wa Kikundi cha Bopwe vegetable&Fruit Pruduct Wete alipotembelea maonesho ya wajasiriamali katika hafla ya ufungaji wa Kongamano la sita la Kiswahili la Kimataifa katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba leo.[Picha na Ikulu] 18/12/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (kulia) wakipata maelezo kutoka kwa Bi. Rahma Mabrouk Masoud wa Kikundi cha “Tushirikiane Cooperative”Gombani Chakechake alipotembelea maonesho ya wajasiriamali katika hafla ya ufungaji wa Kongamano la sita la Kiswahili la Kimataifa katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba leo.[Picha na Ikulu] 18/12/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea zawadi ya Asali kutoka kwa Bw.Khamis Salum Masoud wa Kikundi cha Jukunum cha Wete Pemba alipotembelea maonesho ya wajasiriamali katika hafla ya ufungaji wa Kongamano la sita la Kiswahili la Kimataifa katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba leo.[Picha na Ikulu] 18/12/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea baadhi ya vitabu kutoka kwa Ndg,Mwandika Petter Mfuko Jasili Tanzania alipotembelea maonesho ya wajasiria mali katika Kongamano la sita la Kiswahili la Kimataifa lililofungwa leo katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.[Picha na Ikulu] 18/12/2022.