Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi (kulia) ambae pia ni Mwenyekiti wa Tasisi ya Zanzibar Maisha Bora Fondation (ZMBF)   akipokea msaada wa  boti 15 na vifaa vyake pamoja na life Jacket, ambazo zilizotolewa na Balozi Mdogo wa China  anayefanyia kazi Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng, hafla iliyofanyika leo katika Ofisi za ZMBF Migombani Jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 14/12/2022.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi (kulia) ambae pia ni Mwenyekiti wa Tasisi ya Zanzibar Maisha Bora Fondation (ZMBF)   akitiliana saini na  Balozi Mdogo wa China  anayefanyia kazi Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng katika  hafla ya  kukabidhi  msaada wa  boti 15 na vifaa vyake pamoja na life Jacket imefanyika leo  katika Ofisi za ZMBF Migombani Jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 14/12/2022.  

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi (kulia) ambae pia ni Mwenyekiti wa Tasisi ya Zanzibar Maisha Bora Fondation (ZMBF)   akibadilishana hati   na  Balozi Mdogo wa China  anayefanyia kazi Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng baada ya kutiliana saini,  katika  hafla ya  kukabidhi  msaada wa  boti 15 na vifaa vyake pamoja na life Jacket iliyofanyika leo  katika Ofisi za ZMBF Migombani Jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 14/12/2022.  Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi,  pia  Mwenyekiti wa Tasisi ya Zanzibar Maisha Bora Fondation (ZMBF)   akizungumza machache na kutoa shukurani kwa  Balozi Mdogo wa China  anayefanyia kazi Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng (kushoto) baada ya kupokea msaada wa   boti 15 na vifaa vyake pamoja na life Jacket katika hafla iliyofanyika leo  katika Ofisi za ZMBF Migombani Jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 14/12/2022. 

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi,  pia  Mwenyekiti wa Tasisi ya Zanzibar Maisha Bora Fondation “ZMBF”  (katikati) akipokea hundi ya zaidi ya  shilingi za Kitanzania Millioni sitini na tano   kutoka kwa  Balozi Mdogo wa China  anayefanyia kazi Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng (kushoto) baada ya kupokea msaada wa   boti 15 na vifaa vyake pamoja na life Jacket katika hafla iliyofanyika leo  katika Ofisi za ZMBF Migombani Jijini Zanzibar (kulia) Katibu wa Taasisi ya ZMBF Ndg,Mwanaidi M.Ali.[Picha na Ikulu] 14/12/2022. 

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi (kulia) ambae pia ni Mwenyekiti wa Tasisi ya Zanzibar Maisha Bora Fondation (ZMBF)   akipokea msaada wa  kamba na life Jacket ambavo vinaenda sambamba na boti 15 na vifaa vyake pamoja na life Jacket, ambazo zilizotolewa na Balozi Mdogo wa China  anayefanyia kazi Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng, hafla iliyofanyika leo katika Ofisi za ZMBF Migombani Jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 14/12/2022.