Mke wa Rais wa Zanzibar pia  Mwenyekiti wa  Taasisi ya “Zanzibar Maisha Bora Foundation” Mhe.Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Riziki Pembe Juma (kulia) alipowasili katika Bustani ya Forodhani kwa ajili ya kuzindua mbio za kilomita kumi,tano wakiwemo na watu wenye ulemavu na pamona na matembezi yaliyotayarishwa na Taasisi ya Smile for Community kuanzia Ngome Konge,Mlandege hadi Viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar.

Mke wa Rais wa Zanzibar pia  Mwenyekiti wa  Taasisi ya “Zanzibar Maisha Bora Foundation” Mhe.Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Katibu  Mkuu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Ndg,Abeda Rashid Abdalla  (kulia) alipowasili katika Bustani ya Forodhani kwa ajili ya kuzindua mbio za kilomita kumi,tano wakiwemo na watu wenye ulemavu na pamona na matembezi yaliyotayarishwa na Taasisi ya Smile for Community kuanzia Ngome Konge,Mlandege hadi Viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar.

Mke wa Rais wa Zanzibar pia  Mwenyekiti wa  Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe.Mama Mariam Mwinyi akifyatua bastola kama ishara ya kuzindua  mbio za kilomita kumi samba na kilomita tano wakiwemo na watu wenye ulemavu na pamona na matembezi yaliyotayarishwa na Taasisi ya Smile for Community kuanzia Ngome Konge,Mlandege hadi Viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar.

Wanariadha wa mbio za Kilomita tano sambamba  na matembezi, ambapo wakiwemo na  watu wenye ulemavu tafauti wakijitayarisha kabla  mbio hizo kuzinduliwa leo na Mke wa Rais wa Zanzibar pia  Mwenyekiti wa  Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe.Mama Mariam Mwinyi,ambapo taasisi ya   Smile for Community iliyoandaa matembezi hayo kuanzia  Ngome Konge,Mlandege hadi Viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar.

Mke wa Rais wa Zanzibar pia  Mwenyekiti wa  Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe.Mama Mariam Mwinyi (katikati) akishiriki katika   matembezi ya Kilomita tano yaliyotayarishwa na Taasisi ya Smile for Community Chini ya Mkurugenzi Mtendaji Ndg,Flora Njelekela (wa tatu kushoto) pamoja na Viongozi mbali mbali na wananchi  kuanzia Ngome Konge,Mlandege hadi Viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar.

Mke wa Rais wa Zanzibar pia  Mwenyekiti wa  Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe.Mama Mariam Mwinyi (katikati) na Waziri wa Afya Mhe.Nassor Ahmed Mazrui pamoja na Viongozi mbali mbali na Wananchi wakishiriki katika   matembezi ya Kilomita tano yaliyotayarishwa na Taasisi ya Smile for Community Chini ya Mkurugenzi Mtendaji Ndg,Flora Njelekela (wa tatu kushoto)   kuanzia Ngome Konge,Mlandege hadi Viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar.[

Mke wa Rais wa Zanzibar pia  Mwenyekiti wa  Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe.Mama Mariam Mwinyi (katikati) akijumuika na wananchi mbali mbai na Viongozi walioshiriki   katika   matembezi ya Kilomita tano  kuanzia Ngome Konge,Mlandege hadi Viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar,ambapo Taasisi ya Smile for Community Chini ya Mkurugenzi Mtendaji Ndg,Flora Njelekela (wa pili kushoto) imetayarisha matembezi hayo pamoja na mbio za Kilomita kumi,tano wakiwemo na Watu wenye Ulemavu tafauti .

Mke wa Rais wa Zanzibar pia  Mwenyekiti wa  Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe.Mama Mariam Mwinyi (kushoto) akipokea zawadi kutoka kwa  Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Riziki Pembe Juma (kulia) mara baada ya kumalizika kwa  matembezi kilomita tano yaliyofanyika leo sambamba  na mbio Kilomita tano na kumi hafla iliyotayarishwa  na Taasisi ya Smile for Community kuanzia Ngome Konge,Mlandege hadi Viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar.

Mke wa Rais wa Zanzibar pia  Mwenyekiti wa  Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe.Mama Mariam Mwinyi (kushoto) akivalishwa nishani na   Mkurugenzi Mtendaji wa  Taasisi ya Smile for Community Ndg. Flora Njelekela mara baada ya kumalizika kwa  matembezi kilomita tano,mbio Kilomita tano na kumi yaliyotayarishwa  na Taasisi ya Smile for Community kuanzia Ngome Konge,Mlandege hadi Viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar.

Waziri wa Habari,Vijana ,Utamaduni na Michezo Mhe.Tabia Maulid Mwita akizungumza na wanamichezo kwa niaba ya Mke wa Rais wa Zanzibar  pia  Mwenyekiti wa  Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe.Mama Mariam Mwinyi baada ya kumalizika kwa  matembezi kilomita tano,mbio Kilomita tano na kumi yaliyotayarishwa  na Taasisi ya Smile for Community kuanzia Ngome Konge,Mlandege hadi Viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu