Naibu Waziri Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Deogratius Ndejembi, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Shirika la Watumishi Housing Ivestiment Hosea Kashimba na Mkurugenzi Mtendaji wa Watumishi Housing Dkt. Freddy Msemwa kwa pamoja Leo wakikata utepe kuzindua rasmi uuzaji wa vipande vya hisa za mfuko wa Faida Fund Kutoka shirika la Watumishi Housing Investment Katika hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Kisenga Makumbusho jijini Dar es Salaam.
…………………………………
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Deogratius Ndejembi, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Shirika la Watumishi Housing Ivestiment Hosea Kashimba na Mkurugenzi Mtendaji wa Watumishi Housing Dkt. Freddy Msemwa kwa pamoja viongozi wengine wa taasisi wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuzindua uuzaji wa hisa hizo.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Deogratius Ndejembi akizungumza katika hafla hiyo yz uzinduzi.
Picha ya pamoja.
Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la Watumishi Housing Investment hilo Dkt. Freddy Msemwa akizungumza wakati akimkaribisha mwenyekiti wa bodi ili kuzingumza katika hafla hiyo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Shirika la Watumishi Housing Ivestiment Hosea Kashimba akimkaribisha Naibu Waziri Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Deogratius Ndejembi ili kuzungumza na kuzindua rasmi uuzaji wa hisa hizo.
Picha mbalimbali zikionesha wadaumbalimbali walioshiriki katika uzinduzi huo.