Roberto Firmino (wa pili kulia) akiifungia bao la pili Liverpool dakika ya 30 kufuatia Trent Alexander-Arnold kufunga la kwanza dakika ya 14, kabla ya N’Golo Kante kuifungia Chelsea dakika ya 71 Wekundu hao wakishinda 2-1 Uwanja wa Stamford Bridge mjini London kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England PICHA ZAIDI SOMA HAPA
LIVERPOOL HAISHIKIKI LIGI KUU ENGLAND,YAICHPA 2-1 CHELSEA PALE PALE DARAJANI
By Alex Sonna
September 22, 2019 | 7:58 pm

Related Stories
View all
Michezo
12 hours ago
IVORY COAST YATINGA HATUA YA 32 BORA KWA KUICHAPA CURACAO 2-0
Mshambuliaji Nicolas Pepe aliiongoza Ivory Coast kutinga hatua ya 32 bora ya Fainali za Kombe la Dunia 2026 baada ya kufunga mabao mawili katika…
Michezo
1 day ago
MBIO ZA SHUKRANI KWA MLIPAKODI KUELEKEA TUZO ZA RAIS KWA MLIPA KODI BORA NA MIAKA 30 YA TRA KUFANYIKA JUNI 27 2026.
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inawakaribisha walipakodi wote nchini kushiriki matembezi na mbio za Shukrani kwa Mlipakodi kuelekea Tuzo ya Rais kwa Mlipakodi bora…
