Mkurugenzi wa Dijitali na huduma za ziada Vodacom Tanzania plc, Nguvu Kamando akizungumza na wanafunzi wa kike kutoka shule mbalimbali nchini waliohitimu  mafunzo ya Tehama yaitwayo “code like a girl” yanayolenga kuwajengea uwezo katika Tehama na kubuni tovuti, ambayo yameandaliwa na DLab Tanzania na  kufadhiliwa na Vodacom Tanzania Plc.Mwanzilishi mwenza wa DLab, Mahadia Tunga  akizungumza na wanafunzi wa kike kutoka shule mbalimbali nchini waliohitimu  mafunzo ya Tehama yaitwayo “code like a girl” yanayolenga kuwajengea uwezo katika Tehama na kubuni tovuti, ambayo yameandaliwa na DLab Tanzania na  kufadhiliwa na Vodacom Tanzania Plc.