……………………..
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana, leo Agosti, 2022 ameshiriki Sensa ya Watu na Makazi kwa kuhesabiwa.
Waziri Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana ameshiriki katika zoezi hilo akiwa jijini Dar es salaam kikazi na kutoa wito kwa jamii kuhakikisha inashiriki kikamilifu katika zoezi la Sensa ya Watu na Makazi kwa kutoa ushirikiano kwa makarani wanaendelea kutekeleza jukumu hilo nchi nzima.