Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu Dkt. Francis Michael (kulia) akimsikiliza Mkuu wa Idara ya Udahili wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknoloji Dkt. Mgaza Muya (katika) wakati Katibu Mkuu huyo alipotembelea banda la Chuo hicho katika ziara yake ya kutembelea mabanda ya katika maonesho ya Vyuo Vikuu yaliyohitimishwa leo Julai 23,2022 Jijini dar es Salaam. (kushoto) ni, Mkuu wa Idara ya Ubunifu na atamizi Justine Mwakatobe.
Mkuu wa Idara ya Ubunifu na atamizi Justine Mwakatobe (kushoto) akionrsha ubunifu wa kutengeneza ndege inayoruka bila rubani (NDONE) iliyobuniwa na wanafunzi wa Chuo hicho kilichopo Jijini Mbeya.