WAJUMBE wa Mkutano  Mkuu wa Yanga wamempitisha Mhandisi Hersi Said ambaye alikuwa mgombea pekee kwa kura za ndio kuwa Rais Mpya wa klabu ya Yanga