Mdau wa michezo mkoani Iringa Mess Chengula akiwasalimia wachezawa timu mbili zilizokuwa zimeingia fainali ya mashindano ya UVCCM CUP Kata ya Mkwawa yaliyofanyikia katika chuo cha mkwawa mkoani Iringa
Mdau wa michezo mkoani Iringa Mess Chengula akimkabidhi kapteni wa timu ya Donbosco fc ambayo imeibuka bingwa wa mashindano ya UVCCM CUP Kata ya Mkwawa kwa ushindi wa penat 5-3 dhidi ya Don south baada ya sare ya 1-1 katika uwanja wa chuo cha Mkwawa kwa kijinyakulia ng’ombe mmoja.
Mdau wa michezo mkoani Iringa Mess Chengula akiwa na wadau na viongozi wa CCM kata ya mkwawa wakifauatilia fainali ya mashindanohayo
Mdau wa michezo mkoani Iringa Mess Chengula akimkabidhi kapteni wa timu ya Don south ambao waliibuka kuwa washindi wa pili
NA FREDY MGUNDA,IRINGA.
VIJANA manispaa ya Iringa
wametakiwa kuzingatia nidhamu na juhudi katika mazoezi kwa lengo la kufikia
mafanikio katika michezo na kukuza zaidi vipaji walivyojaliwa na mwenyezi
mungu.

Hayo yamesemwa na mdau wa
michezo mkoani Iringa Mess
Chengula
wakati wa fainali ya mashindano
ya UVCCM CUP Kata ya Mkwawa,iliyofanika katika uwanja wa chuo kikuu
cha Mkwawa na kuhudhuliwa na wapenzi wengi wa mpira wa miguu mkoani Iringa.

Chengula alisemakuwa Mkoa wa
Iringa umebarikiwa na vipaji vingi vya mpira wa miguu kwa kuwa amefanikiwa
kuwaona vijana wengi waliokuwawanacheza fainali ya mashindano ya UVCCM CUP Kata
ya Mkwawa na ameahidi kuhakikisha ataendelea kusaidia michezo ndani
ya mkoa wa Iringa.

“Nimefarijika sana baada ya
kuona vijana walivyokuwa na vipaji vya kusakata kabumbu maana nimebarikiwa kwa
kuwaonakwamacho yangu vijina walivyokuwa wamechangamka kusakata soka uwanjani
hapa chuo cha Mkwawa” alisema Chengula

Chengula amewataka wadau
mbalimbali kuandaa mnashindano mbalimbali ambayo yanakuwa yanawakusanya vijana
wapenda michezo na kuwawekasehemumojaambayo inakuwa inabarisha mtazamo kwenye
akili za watu ambao wanakuwa wanahudhuria michezo hiyo.

“Kwanza nimpongeze diwani wa
kata ya Mkwawapamojana viongozi wa chama cha mapinduzi (CCM) kwa kuwaunganisha
vijana pamoja na kuwaweza kuwa na lugha moja ya kimichezo na kuweza kubarishana
mawazo ya kimaendeleo walipokuwa viwanjani” alisema Chengula

Aidha Chengula alisema kuwa
michezo inaleta chachu kwa vijana kwenda kumchagua kiongozi wanayemtaka katika
serikali za mitaa ambazo hivi karibuni utafanyika nchi nzina hivyo zoezi la
kuwakusanya vijana pamoja linaleta picha nzuri ya uchaguzi.

“Rais wa Dr John Pombe Magufuli
amewafundisha uzalendo wa kufanya kazi nakujitegemea na kufanya kazi kwa uhuru
na ndivyo wananchi wote tunatakiwa kufanya kazi kwa kujituma na kujitafutia
mali zetu wenyewe” alisema Chengula

Naye Mdhamini wa Mashindano
Amiri Zakaria Kalinga ambaye ndiye diwani wa kata ya Mkwawa alisema kuwa lengo
la mashindano hayo ni kuwaunganisha vijana kuwa wamoja na kutambua kuwa michezo
ni ajira namichezoinaimarisha kuwa na afya njema.

“mashindano ya UVCCM CUP Kata ya Mkwawa
yameshirikisha timu za kata ya mkwawa kwa kuendeleza kuwaunganisha kuwa wamoja
kamaambaovyotupo hivi sasa” alisema Kalinga

Kalinga alisemakuwakata ya Mkwawa ina viwanja
vingi ambavyo sio bora kama viwanja vya chuo kikuu kwa ubora hivyo tunatakiwa
kutafuta wadau kuhakikisha tunatengeneza viwanja vyetu wenyewe.

Na katika fainali hiyo Timu ya Donbosco fc imeibuka bingwa
wa mashindano ya UVCCM CUP Kata ya Mkwawa kwa ushindi wa penat 5-3 dhidi ya Don
south baada ya sare ya 1-1 katika uwanja wa chuo cha Mkwawa kwa kijinyakulia ng’ombe
mmoja.

Huku mshindi
wa pili Don south na Mshindi wa tatu Dream team kutoka ikonongo kwa penati 5-4
baada ya sare tasa dhidi ya hoho fc ya itamba wote walipata mbuzi moja moja.