


(kulia) wakati akipokea msaada wa mabati 135 pamoja na mifuko ya simenti 30 yenye thamani ya shilingi milioni 4 vilivyotolewa na NBC kusaidia ujenzi wa kituo cha polisi cha Rondo Mnara ikiwa ni sehemu ya shughuli za kuisaidia jamii za beni hiyo zinazoendelea kufanyika sehemu mbalimbali nchini. .Makabidhiano hayo yalifanyika katika Tawi la NBC mkoani Lindi jana. Kushoto ni Mwakilishi wa Mkuu wa Polisi wa Wilaya ya Lindi, Inspekta Benard Simpemba