Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Mhe. Kisare Matiku Makori (kulia) akipatiwa elimu  kuhusu gari maalum la Mahakama Inayotembea  kwenye eneo la Kibamba jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Kimara, Mhe.Geiza Mbeyu.  (katikati)  ni Karani wa Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Nise Mwasalemba.

Karani wa Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Nise Mwasalemba(kulia) akiwaelezea baadhi ya wakazi wa Kimara Stopover, jijini Da res Salaam  kuhusu Mahakama Inayotembea Inavyofanya kazi baada ya kuwapatia elimu.

(Picha na Aziza Muhali – SJMC)