Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu nchini Kenya  Mhe.Mwai Kibaki  amefariki Dunia Leo Aprili 22, 2022 akiwa na umri wa miaka 90.

Rais wa Kenya Uhuru Kenyata ametangaza kifo cha Mwai Kibaki leo.

Kibaki alikuwa Rais wa tatu wa Kenya alihudumu kwenye kiti hicho kuanzia Desemba 2002 mpaka Aprili 2013.